HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

February 17, 2013

PADRI WA KANISA KATOLIKI APIGWA RISASI WAKATI AKIENDA KANISANI ZANZIBAR

  Picha tofauti za Padri wa Kanisa Katoliki, Padri Evarist Mushi zikimuonesha enzi za uhai wake, Padri Mushi ambaye ameuawa leo asubuhi kwa kupigwa risasi wakati akiingia Kanisani kwa ajili ya Ibada ya Jumapili katika eneo la Mtoni Mjini Magharibi Zanzibar.  
 Eeneo la tukio la mauaji ya Padri Evarist Mushi.
 Waziri wa Mambo ya Ndani, Emmanuel Nchimbi (wa pili kushoto) akiwa na Waziri katika Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Mohamed Aboud walipotembelea eneo la tukio leo.
 Gari la Padri Evarist Mushi likiwa limetapakaa damu baada ya kupigwa risasi
Waziri wa Mambo ya Ndani, Emmanuel Nchimbi akizungumza na waandishi wa habari mjini Zanzibar leo kufuatia mauaji ya Padri wa Kanisa katoliki, Padri evarist Mushi. (Picha na Adrew Chale, Zanzibar)

1 comment:

  1. Ee Mungu uliyee juu we ndo uliyeona nani katenda na ndo unaehukumu kadiri ya matendo ya mtu. tazama hili baba watumishi wako wanauwawa kama hivyo. rest in piece father Mushi

    ReplyDelete

Pages