Katibu
wa Jumuiya na Taasisi za Waislamu, Sheikh Ponda Issa Ponda (katikati) akiwa katika Mahakama ya
Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam wakati kesi inayomkali ya uchochezi
na wizi wa malighafi zenye thamani ya Sh.milioni 59 inayomkabili Katibu huyo na
wenzake 49 ilipoanza kusikilizwa leo. (Picha zote na Dende JR)
Ulinzi iliimarishwa katika kila kona ya Mahakama ya Kisutu leo
Askari wakiwa katika barabara ya Bibi Titi leo.
Mfuasi wa Sheikh Ponda Issa Ponda akijitetea
mbele ya Askari wa Kutuliza Ghasia (FFU) baada ya kutolewa amri ya
kuondoka katika eneo la Mahakama ya
Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam wakati kesi inayomkabili Sheikh huyo
ilipoanza kusikilizwa leo.
Kuimarisha ulinzi Mahakamani
Tunataka haki yetu, huyu mama alikuwa akiwaambia askari.
Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Waislamu, Sheikh Ponda Issa Ponda akirudishwa rumande leo.
Mfuasi wa Ponda akidhibitiwa na askari
Wafuasi wa Ponda chini
Ulinzi Mkali
Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) wakiwa wameimarisha ulinzi katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam wakati kesi inayomkabili Shikh Ponda Issa Ponda ilipofikishwa Mahakamani leo.
Watuhumiwa 54 wanaokabiliwa
na shtaka la kuandamana isivyo halali kushinikiza kuachiwa kwa dhamana kwa Katibu
wa Jumuiya na Taasisi za Waislamu, Sheikh Ponda Issa Ponda wakiwasili katika
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo.
No comments:
Post a Comment