HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

March 10, 2013

SIMBA YAKUMBUKA SHUKA ASUBUHI, YAICHAPA COASTAL UNION 2-1

 Mshambuliaji wa Simba, Mrisho Ngasa, (kulia) akijaribu kumtoka beki wa Coastal Union, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam, leo. Katika mchezo huo Simba imeshinda mabao 2-1, bao la kwanza likifungwa na Mrisho Ngasa, katika dakika ya 45+4 na bao la pili likifungwa na Haruna Chanongo katika dakika ya 45+4. Bao la kufutia machozi la Coastal Union, limefungwa na Razack Khalfan, katika dakika ya 49. 
 Haruna Chanongo, akijiandaa kupiga shuti mbele ya mabeki wa Simba.
 Mrisho Ngasa, akiwachachafya mabeki wa Coastal Union.
Sehemu ya mashabiki wa Simba waliojitokeza kushuhudia mechi hiyo.

No comments:

Post a Comment

Pages