HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

March 16, 2013

WENGI WASHIRIKI MSIBA WA MAMAKE MGWASSA DAR

 Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Konyagi Tanzania, David Mgwassa akizungumza na baadhi ya waombolezaji waliofika kumfariji kwa kufiwa mamake mzazi Suzan  Mgwassa, Kijitonyama, Dar es Salaam. Mwili utasafishwa leo kwenda kwao Manda, Ludewa kwa mazishi.
Wakurugenzi wa Kampuni ya Jambo Concepts Tanzania Limited, wakitoa heshima kwa mwili wa mamake, David Mgwassa. Benny Kisaka (kulia), Juma Pinto (kushoto) na Juma Mabakila.
Mjukuu wa marehemu Suzan Mgwassa, Isaack Mgwassa 9kulia0 akijadiliana jambo na maaskofu wa Kanisa la Pentekoste wakati wa msiba huo.
                                                          Sehemu ya waombolezaji


Kwaya ya Kanisa la Pentekoste ikomboleza kwa nyimbo za injili wakati wa kuaga mwili wa marehemu Suzan
David Mgwassa (wa pili kulia) akijadiliana jambo na maaskofu wa Kanisa la Pentekoste waliokwenda kuuombea mwili kabla kusafirishwa.(PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG)
David Mgwassa akifarijiwa na mmoja wa waombolezaji
Mgwassa akifarijiwa na mmoja wa waombolezaji
Waombolezaji wakipata mlo
Mgwassa akizungumza na Abdul Sisco (kushoto)
Mkurugenzi Mtendaji wa Montage Teddy Mapunda (aliyevaa miwani) akishiriki kwenye msiba huo (PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG)

No comments:

Post a Comment

Pages