HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

March 16, 2013

Mwenyekiti Mbowe ndani ya Shinyanga, tayari kuzindua Kanda ya Ziwa Mashariki

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, akifurahia jambo na Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji cha Kakola, mahali ambapo mgodi wa dhahabu wa Buzwagi unapatikana, Emmanuel Bombeda anayetokana na chama hicho, wakati kiongozi huyo mkuu wa CHADEMA alipokuwa akisalimiana na viongozi mbalimbali wa chama hicho, baada ya kuwasili mkoani Shinyanga, kwenye kikao cha Baraza la Uongozi Kanda ya Ziwa Mashariki (Mara, Shinyanga na Simiyu). Mbowe anatarajiwa kufanya mkutano wa hadhara Mjini Shinyanga, kufanya uzinduzi wa kanda hiyo.

No comments:

Post a Comment

Pages