HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 27, 2013

ALEX MSAMA KATIKA SHEREHE ZA MIAKA 46 YA MUUNGANO IKULU DAR

 Rais Jakaya Kikwete akifurahia jambo na Mkurugenzi wa Msama Promotions Alex Msama, wakati wa Sherehe za Miaka 46 ya Muungano zilizofanyika katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam jana.

Mkurugenzi Mkuu wa Exim Bank Antony Grant (kushoto)  akibadilishana mawazo na  Mkurugenzi wa Msama Promotions Alex Msama, wakati wa kusherekea Sherehe za Miaka 46 ya Muungano zilizofanyika jana katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam. Katikati ni Balozi wa Amani, Risasi Maulanga.

No comments:

Post a Comment

Pages