Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, katika utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar leo jioni. Kushoto ni Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamadi,(Picha na Ramadhan Othman Ikulu)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, (katikati)akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, katika utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar leo jioni.
No comments:
Post a Comment