Mashabiki wa Yanga wakishangilia timu yao wakati ikipambana na Coastal Union ya Tanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara. Yanga tayari imetwaa ubingwa huo baada ya kufikisha pointi 57 ambazo hakuna timu yoyote inayoweza kuzifikia.
Nizar Khalfan akitafuta mbinu za kuwatoka wachezaji wa Coastal Union ya Tanga.
Kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima akimtoka beki wa Coastal
Union ya Tanga, Philip Mugenzi katika
mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa
jijini Dar es Salaam leo. Timu hizo zimetoka sare ya 1-1. (Picha na Habari Mseto Blog)
No comments:
Post a Comment