Mbunge wa kuteuliwa,
James Mbatia (NCCR-Mageuzi), akionesha makosa yaliyomo kwenye vitabu vya shule
za msingi kwa waandishi wa habari mjini Dodoma. Vitabu hivyo
viliidhinishwa na EMAC bila kubaini kasoro hizo. Kushoto ni, David Kafulila na Felix Mkosamali. (Picha na Edson Kamukara)
Mbunge wa kuteuliwa, James Mbatia (NCCR-Mageuzi), akionesha makosa yaliyomo kwenye vitabu vya shule za msingi kwa waandishi wa habari mjini Dodoma jana. Vitabu hivyo viliidhinishwa na EMAC bila kubaini kasoro hizo. (Picha na Edson Kamukara)
Vitabu vya shule ya msingi vilivyoandikwa kimakosa mathalani hiki cha Jiografia
darasa la sita kinasomeka Jografia
hali kama ni hiyo kwa ni elimu iisiwe mbaya? Makosa kama hayo innatakiwa viongozi wa Juu wa Serikali wawajibike maana wamekuwa wakiendeleza udhaifu huo nwao wakiwa kwenye Serikali
ReplyDelete