HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

June 15, 2013

STARS TUPENI RAHA

  Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, George Kavishe akizungumza na wachezaji wa timu ya Soka ya Tanzania 'Taifa Stars' kabla ya mchezo wao na timu ya Taifa ya Ivory Coast  utakaochezwa siku ya Jumapili kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. 
 Mjumbe wa kamati ya kusaidia Taifa Stars ishinde, Teddy Mapunda akizungumza na wachezaji wa timu hiyo wakati walipokutana nao kabla ya mchi yao ya kufuvu kucheza fainali za kombe la Dunia. 
 Nohodha wa Stars Juma Kaseja akiwa na mshambuliaji wa timu hiyo, Amri Kihemba.
 Wachezaji wa Stars.
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick akizungumza na wachezaji hao na kuwataka kuwapa raha watanzania kwa kushinda mchezo wao dhidi ya Ivory Coast. 
Mshambukliaji wa Stars, Thomas Ulimwengu Kulia akiwa na wachezaji wenzake. 
 
 Kocha wa Taifa Stars, Kim Poulsen akizungumza katika hafla hiyo. 
 Nahodha wa Taifa Stars, Juma Kaseja.
Mjumbe wa Kamati ya ushindi ya timu ya Soka ya Tanzania  Taifa Stars, Teddy Mapunda akisalimia na nahodha wa timu hiyo, Juma Kaseja.
kilimanjaro, George Kavishe akisalimiana na wachezaji wa Taifa Stars. 
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick akisalimiana na wachezaji wa Stars.  
Chuji akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadiki.
Mjumbe wa Kamati ya ushindi ya timu ya Soka ya Tanzania  Taifa Stars, Teddy Mapunda akisalimia na kocha Mkuu wa timu hiyo, Kim Poulsen.
 Katibu Mkuu wa TFF, Angetile Osiah akizungumza na kocha wa Stars, Kim Poulsen.
Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, George Kavishe akibadilishana mawazo na kocha Mkuu wa Stars, Kim Poulsen.

No comments:

Post a Comment

Pages