HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 24, 2013

EXIM BANK YAPATA CHETI CHA UTAMBUZI KWA KUFANIKISHA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Exim Anthony Grant (kulia) akijadiliana na mabalozi wanaowakilisha nchi mbali mbali hapa Tanzania jijini Dar es Salaam jana baada kupokea cheti cha kutambua mchago wa benki hiyo katika kufanikisha sherehe ya Siku ya Afrika iliyofanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
Balozi wa Angola nchini Tanzania Prof Ambrosio Lukoko (kulia) akikabidhi cheti kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Exim Anthony Grant (kushoto) jijini Dar es Salaam ikiwa ni ishara ya kutambua mchango wa benki hiyo katika kufanikisha sherehe ya Siku ya Afrika iliyofanyika jijini Dar es Salaam mwezi wa tano mwaka huu. 

No comments:

Post a Comment

Pages