HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 19, 2013

SWAHILI TV YALONGA NA MENEJA WA JUSTIN BIEBER "JUSTIN KUKAA KIFUA WAZI"

Katika pita pita zetu mitaa ya Connecticut, Marekani, Mwandishi wetu alikutana na picha hizi za Bieber akiwa Kifua wazi alafu amejitunisha ili kuonyesha jinsi jim inavyolipa.Mwana muziki huyu mdogo lakini maarufu amekuwa na tabia ya kuvua shati siku hizi hata akiwa klabu au mitaani kwani anasema anataka kinadada waone jinsi kifua chake kilivyo.

No comments:

Post a Comment

Pages