Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Saidi Mwema akipokea zawadi ya mfano wa mashua kutoka kwa mwakilishi wa kikundi cha ulinzi shirikishi cha shehia ya Stone Town, Saidi Mkweche wakati wa sherehe za uzinduzi wa upanuzi wa zahanati ya Polisi, Ziwani Visiwani Zanzibar.
Hapsa Omar(kulia) na Habiba Nassor wa kikundi cha Kung Fu cha Shehia ya Nyerere wakifanya onyesho la kung fu jana Visiwani Zanzibar baada ya IGP Saidi Mwema kufanya uzinduzi wa upanuzi wa zahanati ya Polisi, Ziwani Visiwani Zanzibar. ( Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi)
No comments:
Post a Comment