HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

August 03, 2013

KOCHA MPYA BARCELONA AANZA KWA KISHINDO NOU CAMP

Last goals? Manchester United target Cesc Fabregas started on the bench but scored two in the second half
Bao la Mwisho Barca? Kiungo Cesc Fabregas akifunga moja ya mabao yake mawili yaliyoiwezesha Barcelona chini ya kocha mpya Gerardo 'Tata' Martino kuibuka na ushindi wa jumla ya mabao 8-0 dhidi ya Santos ya Brazil aliyokuwa akiichezea nyota mpya wa Barca, Neymar. Bao hilo la Fabregas, limezua maswali kuwa linaweza kuwa la mwisho kabla ya kutua Manchester United?
The two stars: Lionel Messi and Neymar are enjoying themselves before the game
Wakali wawili: Washambuliaji Lionel Messi na Neymar wakifurahia jambo kabla ya kuanza kwa mechi hiyo maalum ya kuwania ubingwa wa Kombe la Joan Gamper.
Dazzling: Messi (left), Pedro (centre) and Sanchez (right) were almost unplayable in the first half
Tumeanza kazi: Messi (kushoto), Pedro (katikati) na Alexis Sanchez (kulia), wakipongezana baada ya moja ya mabao hayo katika kipini cha kwanza cha mechi hiyo kwenye Uwanja wa Nou Camp jijini Barcelona.
First of many? Barca win the Joan Gampar trophy yet again
Kikosi cha Barca kikipozi kwa pamoja ya pamoja na ubingwa wa Kombe la Joan Gampar baada ya kuizabua Santos ya Brazil.
Trouble: Neymar is protected from an angry Internacional fan in Barcelona
Polisi wa Uwanja wa Nou Camp wakimdhibiti shabiki wa soka aliyevamia dimbani wakati mchezo ukiendelea kwa lengo la kumfuata nyota mpya wa Barca, Neymar.
Trouble: Neymar is protected from an angry Internacional fan in Barcelona
Guaidance: New boss Tata Martino (right) giving Neymar some advice
Kocha mpya wa Barcelona, Gerardo 'Tata' Martino (kulia) akitoa maelekezo muhimu kwa Neymar wakati wa mchezo huo.

No comments:

Post a Comment

Pages