Sehemu ya waumini wa dini ya Kiislamu waliohudhuria Baraza la Iddi lililofanyika Kitaifa Mkoani Tabora leo. Picha na OMR.
Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasili kwenye Msikiti wa Manyema Mkoani Tabora, kwa ajili ya kuhudhuria Swala ya Ijumaa kabla kuzungumza katika Baraza la Iddi lililofanyika Kitaifa Mkoani Tabora.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na waumini wa Dini ya Kiislamu katika Msikiti wa Manyema Mkoani Tabora, baada ya kushiriki nao katika Swala ya Ijumaa, leo kabla kuzungumza katika Baraza la Iddi lililofanyika Kitaifa Mkoani Tabora.
Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na Mufti Mkuu wa Tanzania, Shaaban Bin Simba, wakati wakiondoka katika Msikiti wa Manyema mkoani Tabora baada ya kushiriki katika Swala ya Ijumaa.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiondoka katika Ukumbi wa Chuo cha Uhaziri, baada ya kuzumza katika Baraza la Iddi lililofanyika Kitaifa Mkoani Tabora.
No comments:
Post a Comment