Mbunge wa Jimbo la Hai, Freeman Mbowe akiwa amembeba mtoto alipoenda kutoa pole kwenye familia ya Renatusi Kumalija iliyopo Kikavu alipofanya mkutano ambayo ilikuwa imeondokewa na mmoja wa familia hiyo..
Mwenyekiti wa Chadema Taifa na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe akizungumza na wanancnchi wa kikavu chini Wilayani Hai,ikiwa ni mwanzo wa ziara yake ya siku tatu ambayo anafanya kwa helikopta kwenye Jimbo lake ambapo ameambatana na wabunge zaidi ya 11 kutoka majimbo mbalimbali nchini.
No comments:
Post a Comment