Afisa masoko wa kampini ya Gf Trucks & equipments, Gerald William (kushoto)Akiwaelezea uwezo na ubora wa Mitambo mipya ya kutengenezea Barabara (Wheel Loader) aina ya Doosan baadhi ya wahandisi walotembelea banda lao wakati wa uzinduzi wa mitambo hiyo uliofanyika katika mkutano mkuu wa Mwaka wa ERB jijini Dar es Salaam.

No comments:
Post a Comment