HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

September 20, 2013

Rais wa Zanzibar Dk.Shein azungumza na Katibu Mtendaji SADC

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Katibu Mtendaji wa SADC Dkt.Stergomena L.Tax,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi kumuaga  Rais, baada ya kuteuliwa kushika wadhifa wake huo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiagana  na Katibu Mtendaji wa SADC Dkt.Stergomena L.Tax,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi  baada ya mazungumzo yao. (Picha na Ramadhan Othman,Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Pages