HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

September 21, 2013

WAPINZANI KUFANYA MKUTANO MKUBWA JANGWANI LEO, POLISI WAZUIA MAANDAMANO YAO


 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwasili Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar es salaam kwa ajili ya mazungumzo na Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Said Mwema kuhusu mkutano wa hadhara wa kuhamasisha wananchi kuhusu mchakato wa katiba mpya, utakaofanyika leo katika viwanja vya Jangwani
 Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia akiwasili Makao Makuu ya Jeshi la Polisi
 Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrajim Lipumba akiwasili Makao Makuu ya Jeshi la Polisi.
 Karibuni uwanja ni wenu, Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Said Mwema akiwakaribisha viongozi wakuu wa vyama vitatu vya upinzani mbele ya waandfishi ya habari mara baada ya kumaliza mazungumzo yao ofisini kwake.
 Prof. Ibrahim Lipumba akizungumza na waandishi wa habari kuhusu makubaliano yao na Jeshi la Polisi kuhusu Mkutano wao utakaofanyika leo katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es salaam.
 IGP, Said Mwema akizungumza na waandishi wa habari.
 IGP, Said Mwema akiwashukuru viongozi wa vyama vya upinzani waliofika kwa mazungumzo ofisini kwake. Kushoto ni Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba, mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na Mwenyekityi wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia.
Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba akipongezana na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe.

No comments:

Post a Comment

Pages