HABARI MSETO (HEADER)


November 20, 2013

MAKAMO WA CCM ZANZIBAR DK. SHEIN AZUNGUMZA NA WAZEE
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati)alipokuwa akizungumza na Wazee wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kaskazini huko Skuli ya Micheweni Wilaya ya Micheweni Pemba,(kutoka kushoto)Mama Mwanamwema Shein,na Mwenyekiti wa CCM Mkoa Mberwa Hamadi Mberwa, (Picha na Ramadhan Othman,Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Pages