Mchezaji wa zamani wa
Manchester United Andy Cole akiongea na waandishi wa habari katika mkutano wa
kumkaribisha nchini uliondaliwa na kampuni ya Airtel kupitia promosheni yake ya
Mimi ni Bingwa. Katikati ni Mkurugenzi wa mawasiliano wa Airtel Beatrice
Singano na Mkurugenzi wa masoko wa kampuni hiyo Levi Nyakundi (kushoto). (Na Mpiga Picha Wetu)
Mkurugenzi wa mawasiliano wa Airtel Tanzania Bi
Beatrice Singano(Kushoto) akiteta jambo na mkongwe wa Klabu ya Manchester
United Andy Cole(Katikati) wakati wa mkutano wa waandishi wa habari
kumkaribisha gwiji huyo ulioandaliwa na Airtel jijini Dar es Salaam jana. Kulia
ni Afisa Mahusiano wa Manchester United Bwana James Turner.
MCHEZAJI wa zamani wa Manchester United Andy
Cole(katikati) akifafanua jambo kwenye mkutano wa waandishi wa habari ulioandaliwa
na Airtel Tanzania kupitia promosheni yao ya Mimi ni Bingwa jijini Dar es
Salaam jana. Kushoto ni Mkurugenzi wa mawasiliano wa Airtel Tanzania Bi Beatrice
Singano na kulia ni Afisa Mahusiano wa
Manchester United Bwana James Turner.
Mchezaji wa zamani wa klabu ya Manchester United
Andy Cole(kulia) pamoja na Mkurugenzi wa mawasiliano wa kampuni ya Airtel
Tanzania Bi Beatrice Singano(katikati) wakionyesha T – Shirt ya promosheni ya
Mimi ni Bingwa mbele ya waandishi wa habari katika hafla ya kumkaribisha
mchezaji huyo iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment