Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini kitabu cha kumbukumbu kwenye
Ofisi ya Ubalozi wa Afrika ya Kusini Masaki jijini Dar es salaam, kufuatia kifo cha Rais wa Zamani wa
Afrika ya kusini Mzee Nelson Mandela (95) aliyefariki Dunia usiku wa kuamkia leo nyumbani
kwake Houghton, Johannesburg. (Picha na OMR)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Viongozi na Balozi wa Afrika ya Kusini Nchini Tanzania Henry Thanduyise Chiliza.
No comments:
Post a Comment