Abdallah Khamis akikata keki.
Mhariri wa Tanzania Daima Jumapili, Saleh Mohamed akimlisha keki ikiwa ni ishara ya kumpongeza mwandishi wa gazeti
hili, Abdallah Khamis baada ya kutunukiwa Diploma ya Uandishi wa Habari katika mahafali
ya 13 ya Chuo cha Uandishi wa habari cha TSJ jijini Dar es Salaam.
Abdallah Khamis akimlisha keki Mhariri wa Tanzania Daima Jumapili, Saleh Mohamed.
Abdallah Khamis akikata keki kwa ajili ya kumlisha rafiki yake, Janeth Kikoti.
Janeth Kikoti akimlisha keki rafiki yake.
No comments:
Post a Comment