Amiri Jeshi Mkuu ,Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpa
zawadi Luteni usu Evarist Mawalla wakati alipowatunuku Kamisheni maofisa wapya
wa Jeshi la Wananchi Tanzania baada ya kuhutimu mafunzo yao katika Chuo Cha
Jeshi Monduli Juu mjini Arusha jana.Luteni Usu Mawalla aliibuka mwanafunzi bora
katika mafunzo hayo yaliyochukua takribani mwaka mmoja ambapo wanafunzi kutoka
nchi za kigeni pia walishiriki. (Picha na Freddy Maro)
Amiri Jeshi Mkuu ,Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpa zawadi Luteni Usu Immaculata Leodgar Mapunda baada ya kuiboka mwanafunzi bora wa kike katika kozi ya maafiseshi la Wananchi wa Tanzania iliyofanyika Chuo Cha Jeshi Monduli mjini Arusha jana.Katika mafunzo hayo yaliyochukua takriban mwaka mmoja baadhi ya wanafunzi kutoka nchi za kigeni nao walishiriki mafunzo hayo.
No comments:
Post a Comment