Meya wa Manispaa ya
Kinondoni, Yusuph Mwenda (kushoto),
akikabidhi zawadi za Sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya kwa vikundi mbalimbali
vya kulea yatima katika manispaa hiyo. (Na Mpiga Picha Wetu)
Meya wa Manispaa ya
Kinondoni, Yusuph Mwenda (kushoto),
akikabidhi zawadi za Sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya .
Meya wa Manispaa ya
Kinondoni, Yusuph Mwenda akiongea na waandishi wa habari.
No comments:
Post a Comment