HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

December 17, 2013

JUMUIA YA WAZAZI CCM KINONDONI WAENDA MOROGORO KUJINOA
 Baadhi ya viongozi wa Jumuia ya Wazazi Kata za wilaya ya Kinondoni Dar es Salaam, wakiwa kwenye Ofisi ya CCM wilaya ya Kinondoni wakati wakisubiri kuanza safari ya kwenda Morogoro leo kwa ajili ya semina yao ya mafunzo itakayoanza kesho.
 Wakisubiri usafiri ofisi ya CCM wilaya ya Kinondoni.
 Wawakilishi kutoka Kata ya Kawe wakiwa ofisi ya CCM Kinondoni kabla ya safari.
 Baadhi ya viongozi wa Jumuia hiyo wakiwa Oofisi ya CCM Kinondoni.
 Baadhi wakitaniana kabla ya safari.
 Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Kata ya Tandale, Yahya Akilimali aka Mzee wa Yanga, akifurahia jambo na Katibu wa Jumuia hiyo Kata ya Goba, Rehema Ngulume, kwenye Ofisi ya CCM wilaya ya Kinondoni kabla ya safari hiyo.
 Wakiondoka kwenye ofisi ya CCM wilaya ya Kinondoni kwenda kupanda basi lililowafuata kwenye ofisi hiyo.
 Wakipanda basi.
Wakiwa katika basi wakati safri ikiendelea kwenda Moro.

No comments:

Post a Comment

Pages