HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

December 20, 2013

OKWI AWA KIVUTIO MAZOEZI YA YANGA LEO
 Kocha wa Yanga, Ernie Brands akimkabidhi Okwi vifaa vya mazoezi.
 Mashabiki wa Yanga wakishuhudia mazoezi ya timu hiyo.
 Okwi mazoezini.
Mbuyu Twite akichuana na Okwi mazoezini.
 Mchezaji wa kimataifa Yanga, Emmanuel Okwi (kulia) akiwa katika mzazoezi na timu yake mpya leo kwa ajili ya kujiandaaa na pambano la Nani Mtani Jembe litakalofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam Desemba 21. Picha na Francis Dande
Okwi akimiliki mpira.

No comments:

Post a Comment

Pages