Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (kulia), akiwa na
wakili wake, Albart Msando wakitoka Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam jana.
Zitto alifungua kesi ya kuiomba Mhahakama hiyo kuzuia jina lake lisijadiliwe
katika Kikao cha Kamati Kuu ya Chadema kitakachofanyika Januari 3 jijini Dar es salaam.
(Picha na Francis Dande)
Tabasamu....mahakamani.
Tabasamu....mahakamani.
Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu (kushoto), wakili wa chama hicho, Peter Kibatala (katikati) wakitoka katika chumba cha Mahakama Kuu leo wakati wa kusikiliza shauri la Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe kutaka mahakama hiyo kuzuia jina lake lisijadiliwe katika Kikao cha Kamati Kuu ya chama hicho kitakachofanyika Januari 3 jijini Dar es Salaam.
Tujadili.......
Wakili wa Chadema, Peter Kibatala akiteta jambo na wakili wa Mbunge wa Kigoma kasdkazini, Zitto Kabwe. Kulia ni Mbunge wa kigoma Kaskazini Zitto Kabwe.
Zitto akitoka na wakili wake.
No comments:
Post a Comment