Licha ya sheria ya uchaguzi kuzuia kufanya shughuli za sisa katika majengo ya umma na serikali hususan wakati wa kamepi, baadhi ya vyama vya siasa vimekuwa viukikaidi sheria hiyo, kama inavyoonyesha pichani, wanachma wa Chama Cha Mapinduzi walikutwa kiwafanya vikao vyao ndani ya darasa la Shule ya Msingi Ruhombo Kata ya Kibindu katika jimbo la Chalinze juzi. (Picha na Joseph Senga)
Mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mathayo Torongey (wa pili kushoto), akicheza ngoma na kikundi cha kwaya cha kijiji cha Kibindu, kabla ya mkutano wa kampeni uliofanyika kijijini hapo.
Mgombea kusalimia Kibindu; Mgombea wa ubunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mathayo Torongey, akisalimiana na wananchi wa kijiji cha Kibindu baada ya mkutano wa kampeni uliofanyika kijijini hapo.
No comments:
Post a Comment