HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 11, 2014

KUTOKA BUNGE LA KATIBA
 No.1. Makamu Mwenyekiti wa Kamati namba kumi(10) Salmin Awadh Salmin akiwasilisha uchambuzi wa Kamati yake wa sura ya kwanza na sita ya rasimu ya Katiba mpya jana mjini Dodoma.
  Msemaji wa walio wachache wa Kamati namba kumi(10) Profesa Ibrahim Lipumba akiwasilisha maoni ya wachache kuhusu sura ya kwanza na sita ya Katiba mpya jana mjini Dodoma.

 Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Ukumbi wa Bunge tayari kwa ajili ya kuongoza kikao cha Bunge hilo leo mjini Dodoma.

Mwenyekiti  wa Kamati namba moja Ummy Ally Mwalimu akiwasilisha uchambuzi wa Kamati yake wa sura ya kwanza na sita ya rasimu ya Katiba mpya leo mjini Dodoma. Picha na Bunge la Katiba Maalum.

No comments:

Post a Comment

Pages