HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 27, 2014

NGORONGORO HEROES YAIFUNGA KENYA KWA PENALT 4-3
Timu zikiingia Uwanjani. (Picha zote na Francis Dande)
Timu zikiingia uwanja.
Benchi la ufundi la timu ya Ngorongoro Heroes.
Benchi la ufundi la Kenya.
Wachezaji wa Kenya na viongozi wao wakiimba nyiombo ya taifa kabla ya mchezo kuanza.
Wachezaji na viongozi wa Ngorongoro Heroes wakiimba nyimbo ya taifa.
Kikosi cha Ngorongoro Herttoes.
Mashabiki kiduchu waliohudhulia pambano hilo.
 Mshambuliaji wa Ngorongoro Heroes, Ally Bilali (kushoto), akimtoka beki wa Kenya, Geofrey Shivekwa katika mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam, wa kuwania kufuzu fainali za Afrika kwa vijana zitakazofanyika Senegal mwakani.Ngorongoro Heroes ilishinda kwa penalti 4-3. 
 Mshambuliaji wa Ngorongoro Heroes, Ally Bilali (kulia), akichuana na  beki wa Kenya, Geofrey Shivekwa katika mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam, wa kuwania kufuzu fainali za Afrika kwa vijana zitakazofanyika Senegal mwakani. Ngorongoro Heroes ilishinda kwa penalti 4-3.
 Mshambuliaji wa Ngorongoro Heroes, Idd Suleiman (kulia), akiwatoka wachezaji wa timu ya Kenya katika mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam, wa kuwania kufuzu fainali za Afrika kwa vijana zitakazofanyika Senegal mwakani.Ngorongoro Heroes ilishinda kwa penalti 4-3.
 Wachezaji wa Ngorongoro Heroes wakicheza kiduku baada ya kuiondoa katika michuano ya kufuzu kuxcheza fainali za afrika kwa Vijana timu ya Kenya katika mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa taifa jijini dar es Salaam, ambapo Ngorongoro Heroes imeshinda kwa penalti 4-3.

No comments:

Post a Comment

Pages