HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 18, 2014

KAMATI YA UONGOZI BUNGE LA KATIBA YAKUTANA DODOMA
 Wajumbe wa Kamati ya Uongozi ya Bunge Maalum la Katiba wakiwa katika kikao cha Kamati hiyo leo mjini Dodoma, kilichokuwa kikijadili mambo mbalimbali ikiwemo jinisi ya kuwasaidia waathirika wa mafuriko yaliyotokea hivi karibuni. Picha na Bunge Maalum la Katiba-Dodoma
 Mjumbe wa Kamati ya Uongozi ya Bunge Maalum la Katiba Pande Ameir Kificho akitoa mchango wake wakati wa kikao cha Kamati hiyo leo mjini Dodoma, kilichokuwa kikijadili mambo mbalimbali ikiwemo jinisi ya kuwasaidia waathirika wa mafuriko yaliyotokea hivi karibuni.
  Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta(kushoto) akiongoza kikao cha Kamati ya Uongozi wa Bunge hilo  leo mjini Dodoma wakati wakijadili mambo mbalimbali ikiwemo jinisi ya kuwasaidia waathirika wa mafuriko yaliyotokea hivi karibuni. Kulia ni Katibu wa Bunge hilo Yahya Khamis Hamad.

No comments:

Post a Comment

Pages