Mkurugenzi Mtendaji wa
Benki ya CRDB Dk.Charles Kimei akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha.
Benki ya CRDB itafanyaka mkutano wake Mkuu wa Mwaka Mei 10 katika ukumbi wa
AICC jijini Arusha. (Na Mpiga Picha Wetu)
Mkurugenzi Mtendaji wa
Benki ya CRDB Dk.Charles Kimei akionyesha kitabu cha taarifa ya mwaka 2013 cha
benki ya CRDB katika mkutano wa waandishi wa habari jijini Arusha. Katikati ni
Katibu wa Benki hiyo, John Rugambo na Mkurugenzi wa Fedha, Fredrick Nshekanabo.
Benki ya CRDB itafanyaka mkutano wake Mkuu wa Mwaka Mei 10 katika ukumbi wa
AICC jijini Arusha.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk.Charles Kimei akiongea
na Waandishi wa habari (Hawapo Pichani), kuhusu Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa benki
ya CRDB utakaofanyika jijini Arusha. Katikati ni Naibu
Mkurugenzi wa Benki hiyo Bi.Esther
Kitoka na Mkurugenzi wa tawi la Arusha Bi.Chiku Issa. Benki ya CRDB itafanya
mkutano wake Mkuu wa Mwaka tarehe 10/05/2010 katika ukumbi wa AICC jijini
Arusha.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk.Charles Kimei akiongea
na Waandishi wa habari (Hawapo Pichani), kuhusu Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa benki
ya CRDB utakaofanyika jijini Arusha. Kushoto ni Naibu
Mkurugenzi wa Benki hiyo Bi. Esther
Kitoka na Bw.John Rugambo ambaye ni Katibu wa Benki. Benki ya CRDB itafanya
mkutano wake Mkuu wa Mwaka tarehe 10/05/2010 katika ukumbi wa AICC jijini Arusha.
No comments:
Post a Comment