HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

May 28, 2014

Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wavutiwa na kujiunga na Mfuko wa GEPF
 Katibu Mkuu wa Wizaraya Mambo ya Nje na Uhusiano wa Kimataifa Bw. John Haule akifungua rasmi semina hiyo.
Meneja Masoko na Huduma kwa Wateja wa Mfuko wa GEPF Bw. Aloyce Ntukamazina akitoa mada kwa wajumbe wa baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nje juu ya huduma zitolewazo na GEPF.
  KatibuMkuu Bw John Haule akimpongeza Bw.Aloyce Ntukamazina baada ya kuhitimisha mada juu ya umuhimu wa kujiunga na Mfuko wa GEPF.
Bi. Jairo Kutoka katika Kitengo cha Diaspora akipata maelezo ya kina kutoka kwa BwNtukamazina.
 Baadhi ya wajumbe wa baraza wakijaza fomu za kujiunga na Mfuko huku wakipata maelekezo kutoka kwa ofisa wa GEPF, Bi. Gloria Boniface.
Bi Glory Boniface akigawa fomu za kujiunga na Mfuko kwa Wafanyakazi walioguswa na huduma zitolewazona GEPF.

No comments:

Post a Comment

Pages