Kaimu Mkuu wa Mkoa wa
Arusha ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Monduli, Jowika Kasunga akiwa katika picha ya pamoja na Bodi ya Wakarugenzi ya Kituo
cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC)
pamoja na wafanyakazi wa Kituo hicho.
Mbunge wa Viti Maalumu kutoka
Arusha, Mheshimiwa Catherine Magige (kushoto)
naye alijumuika na wadau mbalimbali katika uzinduzi wa nyumba mpya (Apartments) za Kituo
cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha.
Kaimu Mkuuwa Mkoa wa Arusha, Jowika Kasunga akikata utepe kuashilia uzinduzi wa nyumba za kisasa za kupangisha za Kituo
cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha.
Waandishi wa Habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakihakikisha wanapata taarifa na matukio muhimu katika uzinduzi katika uzinduzi wa nyumba mpya
(Apartments)
za Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC).
No comments:
Post a Comment