HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

September 28, 2014

KUTOKA BUNGE MAALUM LA KATIBA

Wajumbe wa  Bunge Maalum la Katiba, Kingunge Ngombale Mwiru (kushoto) na profesa Mark Mwandosya wakifuatilia mjadala bungeni mjini Dodoma Septemba 27, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Kingunge Ngombale Mwiru (kulia) akimpongeza mjumbe mwenzake, John Cheyo  ambaye  alitoa mchango wa kusisimua bungen.
Mjumbe wa Bunge  Maalum la Katiba, Stephene  Wasira  akichangia Bungeni.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Kingunge Ngombale Mwiru akichangia bungeni mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi ya Bunge Maalum la Katiba, Andrew Chenge  akichangia, bungeni mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta akiteta na Mjumbe wa Bunge hilo, Kingunge Ngombale Mwiru.
Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samia Suluhu akiongoza kikao cha Bunge hilo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi  Seif Idd wakiteta Bungeni mjini Dodoma.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema  (kulia) na Hamad  Rashid (kushoto) wakiteta bungeni mjini Dodoma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akiteta na  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mark Mwandosya kwenye  viwanja vya  Bunge  mjini Dodoma 
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, John Momose Cheyo akichangia  bungeni mjini Dodoma.

No comments:

Post a Comment

Pages