Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akikata
utepe kama ishala ya kuzindua rasmi mpango wa Utambuzi wa ujuzi uliopatikana
nje ya mfumo rasmi wa mafunzo, kwa ajili ya kutathimini na kutambua ujuzi na
elimu ua ufundi Stadi kwa Vijana waliojifunza fani mbalimbali, wakati wa hafla
hiyo iliyofanyika leo Septemba 19, 2014 kwenye Hoteli ya Kunduchi Beach, jijini
Dar es Salaam. Kulia ni Waziri wa Kazi, na Ajira, Gaudensia Kabaka (kushoto) ni
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi, Dkt. Shukuru Kawambwa. Pich na OMR.
Baadhi ya
wahitimu wa Mafunzo hayo kutoka Chuo cha VETA, wakisubiri kutunikiwa vyeti na
mgeni rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, wakati wa hafla ya uzinduzi wa mpango wa Utambuzi wa ujuzi
uliopatikana nje ya mfumo rasmi wa mafunzo. Hafla hiyo
ilifanyika leo Septemba 19, 2014 kwenye Hoteli ya Kunduchi Beach, jijini Dar es
Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dk. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Cheti, mmoja kati ya wahitimu 30, wa
mafunzo hayo, Charles Gwambassa, wakati wa hafla ya uzinduzi rasmi wa mpango wa
Utambuzi wa ujuzi uliopatikana nje ya mfumo rasmi wa mafunzo, kwa ajili ya
kutathimini na kutambua ujuzi na elimu ua ufundi Stadi kwa Vijana waliojifunza
fani mbalimbali. Hafla hiyo ilifanyika leo Septemba 19, 2014 kwenye Hoteli ya
Kunduchi Beach, jijini Dar es Salaam. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dk. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Cheti, mmoja kati ya wahitimu 30, wa
mafunzo hayo, Mwajuma Massoud, wakati wa hafla ya uzinduzi rasmi wa mpango wa Utambuzi
wa ujuzi uliopatikana nje ya mfumo rasmi wa mafunzo, kwa ajili ya kutathimini
na kutambua ujuzi na elimu ua ufundi Stadi kwa Vijana waliojifunza fani
mbalimbali Hafla hiyo ilifanyika leo
Septemba 19, 2014 kwenye Hoteli ya Kunduchi Beach, jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia
wakati wa kuzindua rasmi mpango wa Utambuzi wa ujuzi uliopatikana nje ya mfumo
rasmi wa mafunzo, kwa ajili ya kutathimini na kutambua ujuzi na elimu ua ufundi
Stadi kwa Vijana waliojifunza fani mbalimbali, wakati wa hafla hiyo iliyofanyika
leo Septemba 19, 2014 kwenye Hoteli ya Kunduchi Beach, jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dk. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Cheti, mmoja kati ya wahitimu 30, wa
mafunzo hayo, Tumpe Samwely, wakati wa hafla ya uzinduzi rasmi wa mpango wa Utambuzi
wa ujuzi uliopatikana nje ya mfumo rasmi wa mafunzo, kwa ajili ya kutathimini
na kutambua ujuzi na elimu ua ufundi Stadi kwa Vijana waliojifunza fani
mbalimbali Hafla hiyo ilifanyika leo kwenye Hoteli ya
Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Baadhi ya
viongozi wa VETA na washiriki na wadau
waliohudhuria uzinduzi huo.
Baadhi washiriki katika hafla hiyo ya uzinduzi
wakimsikiliza Makamu wa Rais Dk. Bilal, wakati akihutubia.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Baadhi ya wahitimu
wa mafunzo hayo katika Chuo cha VETA na wakufunzi wao baada ya uzinduzi huo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Baadhi ya
wawakilishi kutoka Shirika la Kazi Duniani ILO waliohudhuria uzinduzi huo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Waziri wa Kazi, na Ajira, Gaudensia
Kabaka, wakati akiondoka katika Hoteli ya Kunduchi Beach baada ya uzinduzi huo
wa mpango wa Utambuzi wa ujuzi uliopatikana nje ya mfumo rasmi wa mafunzo.
No comments:
Post a Comment