Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),
Freeman Mbowe akitoka katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, baada
ya kufungua Mkutano Mkuu wa Baraza la Vijana la chama hicho. (Picha zote na
Francis Dande)
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha), ambaye
amemaliza muda wake, John Heche
akizungumza wakati wa mkutano mkuu wa baraza hilo.
Baadhi ya watu wakinunua fulana za Chadema wakati wa Mkutano
Mkuu wa Bavicha.
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Baraza la Vijana Chadema wakiwa
katika mkutano huo.
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Baraza la Vijana Chadema wakiimba
nyimbo za kuhamasisha chama.
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe (wa pili kulia)
akiwaongozi wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Baraza la Vijana Chadema kuimba wimbo wa
taifa wakati wa mkutano huo.
No comments:
Post a Comment