Warembo wanaoshiriki shindano la Redd’s Miss
Tanzania 2014, wakiangalia fuvu la Kiboko lililohifadhiwa katika makumbusho ya
Ngurudoto yaliyopo ndani ya hifadhi ya taifa ya Arusha. Warembo 30
wanaowania taji la Miss Tanzania wapo katika ziara ya kuhamasisha utalii wa
ndani katika hifadhi. (Na Mpiga Picha Wetu)
Warembo wanaoshiriki shindano la Redd’s Miss Tanzania 2014, wakiangalia ndege wa aina mbalimbali lililohifadhiwa katika makumbusho ya Ngurudoto yaliyopo ndani ya hifadhi ya Taifa ya Arusha. Warembo 30 wanaowania taji la Miss Tanzania wapo katika ziara ya kuhamasisha utalii wa ndani katika hifadhi.
Washiriki wa Shindano la Redd's Miss Tanzania 2014, wakimsikiliza Afisa Mfawidhi, Nisalile Mwangoka aliyekuwa akiwapa maelezo juu ya upimaji wa wageni wanao ingia nchini kupitia viwanja vya ndege unavyofanyika kutumia mashine maalum iitwayo 'Walk Through Thermoscaner', iliyopo uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) wakati warembo 30 wanaowania taji la Miss Tanzania walipotembelea uwanja huo na kujifunza mambo mbalimbali . Warembo hao wapo katika ziara ya kuhamasisha utalii wa ndani kwa kutembelea vivutio mbalimbali vya utalii nchini.

Warembo wanaoshiriki shindano la Redd’s Miss Tanzania 2014, wakimsikiliza Mkuu wa Idara ya Utalii katika hifadhi ya Taifa ya Arusha, Neema Mollel (kushoto) aliyekuwa akitoa maelezo juu ya ziwa Kubwa la Monella lilillopo katika hifadhi hiyo jana walipoitembelea. Warembo 30 wanaowania taji la Miss Tanzania wapo katika ziara ya kuhamasisha utalii wa ndani katika hifadhi.
Warembo wanaoshiriki shindano la Redd’s Miss Tanzania 2014, wakiingia katika kituo cha forodha cha Tanzania kilichopo katika mpaka wa Tanzania na Kenya eneo la Namanga, Wilayani Longido mkioani Arusha walipoitembelea eneo hilo. Warembo 30 wanaowania taji la Miss Tanzania wapo katika ziara ya kuhamasisha utalii wa ndani katika hifadhi.
Warembo wanaoshiriki shindano la Redd’s Miss Tanzania 2014, wakila nyama choma katika mnada katika mji wa Longido wakiwa njiani kwenda Namanga. Warembo 30 wanaowania taji la Miss Tanzania wapo katika ziara ya kuhamasisha utalii wa ndani katika hifadhi.

Warembo wanaoshiriki shindano la Redd’s Miss Tanzania 2014, wakisoma maelezo mbalimbali ya hifadhi ya Taifa ya Arusha walipoitembelea. Warembo 30 wanaowania taji la Miss Tanzania wapo katika ziara ya kuhamasisha utalii wa ndani katika hifadhi.
No comments:
Post a Comment