HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

September 16, 2014

TAMASHA LA SABA LA MAONYESHO YA MAGARI


  Mkurugenzi Mtendaji wa Vision Investment, Ally Nchahaga (wa pili kushoto), akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, kuhusu Tamasha la Saba la Maonyesho ya Magari na Bidhaa zake (7th Tanzania Automotive Festival), litakalofanyika Jumamosi Septemba 20 mwaka huu katika Viwanja vya Biafra jijini Dar. Kushoto ni Afisa wa Elimu na Huduma wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Lameck Ndinda na (kutoka wa pili kushoto) ni Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Jubilee Insurance, George Alande na Mwakilishi wa Ipsos MediaCT, Ernest Sifuel.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vision Investment, Ally Nchahaga (wa tatu kushoto), akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, kuhusu Tamasha la Saba la Maonyesho ya Magari na Bidhaa zake (7th Tanzania Automotive Festival), litakalofanyika Jumamosi Septemba 20 mwaka huu katika Viwanja vya Biafra jijini Dar es Salaam. Kutoka (kushoto) ni Mwakilishi wa Mauzo na Masoko wa Shield Chemicals, Mohit Zinzuwadia, Afisa wa Elimu na Huduma wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Lameck Ndinda na (kulia) ni Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Jubilee Insurance, George

No comments:

Post a Comment

Pages