Msaniiwa Muziki wa Taarabu na mpiga Gitaa maarufu nchini Bw. Thabit
Abdul akizungumza na vijana wa jijini la Dar es Salaam wakati wa hafla ya Jamvi la
Vijana ambalo uendeshwa mara moja kila mwezi na Kituo cha Vijana UMATI kilichopo wilayani Temeke alipokuwa mgeni rasmi katika jamvi hilo jijini Dar es
Salaam.
Jamvi hilo lilikuwa na ujumbe mahususi kwa vijana uliolenga kuwahamasisha kufika katika vituo vya afya kwa ajili ya kuchunguza afya zao na kupata matibabu. PICHA NA FRANK SHIJA, MAELEZO
MratibuwaKituo
cha Vijana cha UMATI kilichopoTemekejijini Dar es Salaam Bi. Upendo Daud akifafanua jambo kwa vijana waliohudhuria Jamvi
la Vijana katika kituo hicho jijini Dar es Salaam. Ambapo jamvi hilo lilikuwa na ujumbe mahususi kwa vijana uliolenga kuwahamasisha kufika katika vituo vya afya kwa ajili ya kuchunguza afya zao na kupata matibabu.
Thabit Abdul akipima kwa hiari Virusi vya Ukimwi ikiwa ni kuhamasisha vijana kujitokeza kujua afya zao na kupata matibabu.
Mueleisha
Rika wa Kituo cha Vijana cha UMATI kilichopoTemeke jijini Dar es Salaam Mwanahamis Issa (kushoto) alipokuwa mgeni rasmi katikaJamvi
la Vijana ambalo ufanyika kila mwisho wa mwezi.
Kikundi
cha Sanaa cha Malezi kikitoa burudani kwa vijana.
Baadhi ya washiriki wa Jamvi
la Vijana.
No comments:
Post a Comment