HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

September 19, 2014

WEDDING CEREMONY OF RENATUS MALULU AND IMERESIANA CHARLES

Bwana harusi Renatus Malulu akimvisha pete ya ndoa mkewe Imeresiana Charles wakati wa ibada ya ndoa yao iliyofanyika katika kanisa katoliki la Mtakatifu Mashahidi wa Uganda la Magomeni jijini Dar es Salaam, na kufuatiwa na sherehe kubwa iliyofanyika kwenye ukumbi wa Msimbazi center.
 Maharusi wakiwa na tabasamu.
 RenetusMalulunaImeresiana Charles wakinyeshana shampeni wakati wa sherehe yao.
 Bwana harusi Renatus Malulu na Mkewe Imeresiana Charles wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kufunga ndoa yao katika kanisa katoliki la Mtakatifu Mashahidi wa Uganda la Magomeni jijini Dar es Salaam, na kufuatiwa na sherehe kubwa iliyofanyika kwenye ukumbi wa Msimbazi center.
Bwana harusi Renatus Malulu na Mkewe Imeresiana Charles wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kufunga ndoa yao. katika kanisa katoliki la Mtakatifu Mashahidi wa Uganda la Magomeni jijini Dar es Salaam, na kufuatiwa na sherehe kubwa iliyofanyika kwenye ukumbi wa Msimbazi center.

No comments:

Post a Comment

Pages