HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

October 27, 2014

UTT YATOA ELIMU YA UWEKEZAJI WA PAMOJA KWA WAKAZI WA MBEYA

 Wakazi wa Mbeya wakipata Elimu ya Uwekezaji wa Pamoja kutoka kwa Ofisa Mafunzo wa UTT AMIS, Hilda Lyimo wakati wa Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara yaliyofanyika Mbeya.
Ofisa Mafunzo wa UTT AMIS, Hilda Lyimo akitoa ufafanuzi Uwekezaji wa Pamoja kwa wakazi mjini Mbeya wakati wa Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara.
Ofisa Mafunzo wa UTT AMIS, Mwanahamisi Sakuru akitoa Elimu ya Uwekezaji wa Pamoja kwa wakazi wa jijini Mbeya.
Mkurugenzi wa Masoko na Uhusiano wa UTT AMIS, Daudi Mbaga wakitoa elimu juu ya uwekezaji wa pamoja kwa wakazi wa Mbeya waliotembelea Maonyesho ya ya Kimataifa ya Biashara kwenye Ukumbi wa Mkapa, Soko Matola Mbeya.

No comments:

Post a Comment

Pages