Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willbrod
Slaa akiwahutubia wakazi Mtaa wa Makoka Kata ya Makuburi wakati wa mkutano wa
kuwashukuru wakazi wa mtaa huo baada ya kumalizika kwa ucghaguzi wa serikali za
mitaa uliofanyika Desemba mwaka jana.
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(Chadema), Dk. Willbrod Slaa akiagana na wakazi wa mtaa wa Makoka Kata ya
Makuburi jijini Dar es Salaam, baada ya kuhutubia mkutano wa kuwashukuru baada
ya kumalizika kwa uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika Desemba mwaka jana.

No comments:
Post a Comment