HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

January 25, 2015

MDUDU WA SARE AIANDAMA SIMBA, YAVUNA SARE YA NANE

 Mshambuliaji wa Simba, Danny Sserunkuma (kulia) akichuana na Aggrey Moris wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1.
Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akiwa katikati ya mabeki wa Azam FC.
 Kikosi cha Simba.
 Kikosi cha Azam FC.
Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akitolewa katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam baada ya kuumia katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Azam FC iliyoisha kwa timu hizo kufungana bao 1-1. Mchezaji huyo alikimbizwa Hospitali ya Taifa Muhimbili akiwa amepoteza fahamu.
Mwamuzi wa mchezo Simon Kennedy Mapunda akimuonya beki wa Simba, Juucko Mursheed
 Benchi la Ufundi la Simba.
Benchi la ufundi la Azam.
Wachezaji wa Simba wakishangilia bao lao.
Danny Sserunkuma akichuana na Aggrey Moris.

No comments:

Post a Comment

Pages