HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

January 26, 2015

MKE WA WAZIRI MKUU ATOA WITO KWA WAKULIMA KUTUMIA WATALAMU WA KILIMO

Mke wa Naibu Waziri wa Fedha Naima Malima akiwa anajiahidi kumpiga picha Mama Tunu Pinda hayupo pichani.
 Waziri Mkuu mstaafu Mzee Samweli Machela akimpongeza Mama Tunu Pinda kwa kupata shahada ya Uzamili  ya usimamizi wa miradi sherehe hiyo ya kumpongeza ilifanyika katika makazi ya waziri mkuu mkoani Dodoma.
Mke wa Waziri Mkuu Tunu Pinda (kulia) akiwaonyesha baadhi ya wake wa viongozi  zabibu zilizolimwa kwa kufuata ushauri wa watalamu wa kilimo kutoka kushoto ni mama Malima, mama Mashiba na mama Lukuvi wake hao wa viongozi walifika shambani kwa Waziri Mkuu Zuzu nje kidogo ya Dodoma mjini kupata utalaamu wa kulima kilimo cha Zabibu unavyofanywa. 

No comments:

Post a Comment

Pages