HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

February 08, 2015

FILIKUNJOMBE AWATAKA VIONGOZI WA KISIASA KUTOWASAHAU WANANCHI WALIOWACHAGUA .....

Mbunge wa  jimbo la  Ludewa  Deo Filikunjombe  akitoa  salama  za  pole kwa  wafiwa  wakati wa mazishi ya MNEC wilaya ya  Ludewa  Elizabeth Haule
Mchumi  wa  UWT  mkoa  wa Njombe Dr  Suazana  Kolimba  akitoa  salam  zake 
katibu  wa  CCM  Ludewa  Lusiana Mbossa akimsikiliza DR  Kolimba
katibu  wa CCM Ludewa Bw Mbossa kushoto  akimkaribisha  mbunge  Filikunjombe kutoa  salam  zake

No comments:

Post a Comment

Pages