HABARI MSETO (HEADER)

Breaking

February 10, 2015

MOTO WAUNGUZA JENGO LA NHC

Jengo la Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), lililopo makutano ya mitaa ya Libya na Mosque jijini Dar es Salaam likiteketea kwa moto ambao ilidaiwa ulisababishwa na hitilafu ya umeme. (Na Mpiga Picha Wetu).

Jengo la Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), lililopo makutano ya mitaa ya Libya na Mosque jijini Dar es Salaam likiteketea kwa moto ambao ilidaiwa ulisababishwa na hitilafu ya umeme.

 Kikosi cha Zimamoto kikijaribu kuzima moto uliozuka katika

No comments:

Post a Comment

Pages