HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

February 12, 2015

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI (nec) YAKUTANA NA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA

 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye (kushoto), akisisitiza jambo kwa Mwenyekiti wa NCCR- Mageuzi, James Mbatia (kulia) na Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Willibrod Slaa, walipokutana katika mkutano wa Tume ya Uchaguzi na viongozi wa vyama vya siasa, uliofanyika leo jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande)
 Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Willibrod Slaa akichangia mada katika mkutano huo
 Msajili wa vyama vya siasa nchini Jaji Francis Mutungi akifafanua jambo katika mkutano huo.
 Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akichangia mada katika mkutano huo.
  Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akichangia mada katika mkutano huo.
 Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba akichangia mada.
 Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia akichangia mada.
 Mwenyekiti wa NLD, Dk. Emmanuel Makaidi akichangia mada.
 Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi, Jaji Damian Lubuva.
 Katibu Mkuu wa Chama cha ACT, Samson Mwigamba (wa pili kulia) akiwa katika mkutano huo.
 Mwenyekiti wa UDP, John Cheyo akizungumza katika mkutano huo.
Naibu Katibu Mkuu Bara wa Chama cha Wananchi (CUF), Magdalena Sakaya ambaye pia ni mbunge wa viti maalum akizungumza katika mkutano huo.

No comments:

Post a Comment

Pages