HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

February 01, 2015

YANGA YALAZIMISHWA SARE NA NDANDA

Mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva akimiliki mpira mbele ya beki wa Danda SC, Azizi Sibo katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Timu hizo suluhu. (Picha na Francis Dande)
Beki wa Ndanda Paul Ngalema (kulia) akichuana na mshmabuliaji wa Yanga, Kpah Sherman.
Simon Msuva akiwatoka wachezaji wa Ndanda.
 Mashabiki wa Ndanda.
Waamuzi wa mchezo kati ya Yanga na Ndanda.
Washambuliaji wa Yanga, Jerryson Tegete (kushoto) na Amis Tambwea wakiwa katika benchi mara baada ya kumalizika kwa mchezo.
Mashabiki wa Ndanda wakishangilia baada ya kumalizika mchezo.
Golikipa wa Ndanda, Wilbert Mweta akiruka juu kuokoa hatari langoni mwake.

No comments:

Post a Comment

Pages